Je, kifo cha Jenerali Cyrille kitafungua njia ya kuachiliwa kwa “wahusika wa jaribio la mapinduzi”?
Wasuluhishi walitaka hawa “waliohusika na jaribio la mapinduzi” ya 2015 waachiliwe mwisho wa mwaka 2020. Lakini msimamo mkali wa Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye ulikuwa kikwazo Endelea kusoma