Waislam waingia katika mwezi Ramadhan

Tangu siku ya jumamosi, Waislam wa pembe zote za dunia wameingia katika mwezi wa Ramadhan. Kwenye kipindi cha mwezi mzima, Waislam walazimika kufunga. Huu mwezi ambao ni wa tisa kwenye kalenda ya kiislam una maana gani na una faida gani kwa Waislam? Hayo ni maswali ambayo tumemuuliza Mwalimu Himidi Musa Salum.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *